Enzi hizo....!

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
4,235
Points
1,250

Safety last

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
4,235 1,250
Enzi hizo Rais akiwa anafanya ziara watu tulikuwa tunakusanyika barabarani tunampungia mkono.siku hizi wapi bana nani anamuda na misafa ya viongozi.Enzi hizo shule asubuhi tunakimbia mchakamchaka na kuimba nyimbo za uzalendo kwa taifa,siku hizi hakuna tena watoto hawana pumzi ,enzi hizo simba na Yanga wakicheza lazima uende uwanjani au ukeshe na Raidio Huku Halima mchuka akitangaza, siku hizi ni ulaya tu. Unazikumbuka enzi zozote ...!
 

Forum statistics

Threads 1,352,850
Members 518,197
Posts 33,067,937
Top