Women: If your spouse is an arsenal fan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Women: If your spouse is an arsenal fan

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sita Sita, Aug 28, 2011.

 1. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Today is when your man will be needing you the most

  After a humiliation that he will never forget in his lifetime. (8-2 defeat)

  Do him a favor and do it for love

  Buy him some beer and show up with the Gunner´s Jersey in bed with nothing else.

  BEST WISHES
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  uchokozi mwingine bwana... waachwenzako wapumzike msiba uliowata ni mkubwa
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  I am not into sports... But hata mimi nimeona hapo kua it is a terrible degrading blow!!
  Goli nane kweli au you are kidding??? No wonder watu hawapatikani on mobile.... Dah!

  BTW ushauri ulotoa yategemeai... in most cases the lady should pretend kua hajui nini
  kinaendelea... na ajifanye shughuli zimemtinga.. ampe nafasi jamaa alale.. I don't think kama
  hata wahusika watakua na hamu ya extremes leo...
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hata beer yenyewe itashuka,8 sio mchezo ni ubishi tu wa yule mzee yani timu zilizochkua vikombe zinasajili ye waaala hataki,bora Fbregas hayupo aibu hii haijampata
   
 5. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hahahah tatizo mimi ni Man U nilichomsaidia ni kukubali kubadili channel huku nikirekodi maana I have to watch this 20 times in privacy!!!

  Ninasikitika Nasri kacheza vizuri kwa watani wa jadi Man C leo .....dooooh such a loss to Arsenal Nasri is,
  Mume wangu hata kazini hawezi kwenda kesho teheheheh
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Thiery Henry anafaa kuwa kocha wa timu kuanzia sasa
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  kidding?? Kitu nane, asernal is kupakatwa na mashetani wekundu. Chezea 'Fagasoni' wewe......., wenye wapenzi wao sasa ndo waugulie pamoja!!
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Somehow naunga mkono hoja ya Aishadii, just pretend hata hukuwa unajua kama kulikuwa na mechi! Otherwise chochote utakachofanya kumuimpress anawezahisi unamkejeli!!

  My Man is an Arsenal fan, and being who I am, am not even aware if Arsenal was ever existing!
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Dada taratibu,maana kaka yako unamuumiza hisia!
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Pole saana kaka.. kuna movie moja hapa ni a guys movie... HANGOVER II...
  Njoo tuangalie... Naamini utacheka na majonzi yooote kuisha...
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  mi natamani kulala tu nina hasira mpaka natamani kupasuka!We acha tu!
   
 12. G

  George Star Member

  #12
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Guys this team is far much better considering the circumstances maybe Wenger should borrow a leaf from Laura Harvey.........................[​IMG]

  Arsenal were crowned the first Women's Super League champions after two Rachel Yankey goals set them up for a hard-fought 3-1 win at Liverpool.

  "It's been a really tough season in this very competitive new league," said Gunners manager Laura Harvey. "But it's great to have come through to win it."
   
 13. D

  Derimto JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Acheni mimi nilishawaambia watu kitambo kuwa mpinzani wa jadi wa Manu ni majogoo wa LIVER Nvr.walk Alone watu wakabisha sasa cjui wanaweka wapi nyuso zao! Ila kama kuna watu walionyanyasika jana ni wale wanaishi kwenye nyumba baba Arsenal na mama na watoto ni man sitaki hata kujua.
   
Loading...