:coffee:Jamani natafuta hii cheni,
Ni duka gani hapa Sinza naweza pata hii Cheni jamani.
Natanguliza shukrani na ninawatakia weekend njema madadiito na mamito!!!
Nimekutumia PM mdogo wangu.
Ukikosa hapo uniambie kamamy
marriage is the only war where you sleep with your enemy
Jamani natafuta hii cheni,
Ni duka gani hapa Sinza naweza pata hii Cheni jamani.
Natanguliza shukrani na ninawatakia weekend njema madadiito na mamito!!!
Njoo maeneo ya Aggrey Posta kuna sonara mzuri sana anaitwa Hamad mpenzi wako akikuona umevaa mnaweza kesha mnamegana kila akiiangalia

asee nipm nikupe deal.....besides endelea kunifikiriahaa haaa!! umechelewa kidogo wangu. ila nitakufikiria
na wewe umeonaae!!!