Wakunitengeneza wikend kwa malipo

Wakunitengeneza wikend kwa malipo

mamushkar

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
26
Reaction score
8
jamani natafuta kijana wa kiume wa kunisafisha na kunitengeneza kucha pia kuniosha miguu kila wkend
muda anzia saa 2 usiku
malipo mazuri
 
jamani natafuta kijana wa kiume wa kunisafisha na kunitengeneza kucha pia kuniosha miguu kila wkend
muda anzia saa 2 usiku
malipo mazuri

Kuna sehemu ya matangazo madogo madogo kama haya......
 
jamani natafuta kijana wa kiume wa kunisafisha na kunitengeneza kucha pia kuniosha miguu kila wkend
muda anzia saa 2 usiku
malipo mazuri
Kama ni kuanzia muda huo, Mimi najitolea kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa bila malipo yoyote. Nielekeze kwako tu na uhakikishe hakuna mbwa mkali.
 
kama ni kuanzia muda huo, mimi najitolea kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa bila malipo yoyote. Nielekeze kwako tu na uhakikishe hakuna mbwa mkali.
hawa vijana wanatucharge ghali sana aisee kumbe wewe unatengeneza buree? Mimi niagizie uliko nikufate maana nimefulia mbaya
 
jamani natafuta kijana wa kiume wa kunisafisha na kunitengeneza kucha pia kuniosha miguu kila wkend
muda anzia saa 2 usiku
malipo mazuri

Are you sure hayo 'malipo' ni genuine? Ukinihakikishia, mi nakuja...
 
Kama ni kuanzia muda huo, Mimi najitolea kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa bila malipo yoyote. Nielekeze kwako tu na uhakikishe hakuna mbwa mkali.
Kijana acha kukurupuka na nyege mshindo, elewa topic yeye alichosema ametoa ajila anahitaji kijana wa kwenda kumtengeza huo urembo wa kucha kwa malipo mazuri baada ya hapo yeye ndio anatoka kwenda kwenye mtoko wa weekend na mkunaji wa kipere G yupo.
Hapa inaonekana vijana dada zenu wakiwahita honey basi mtafikiRIa moja kwa moja kwamba sister anataka kunipa K.
 
Mi nina cheti kbsa kwa kazi hyo.ila nina idadi kubwa ya wateja huo muda wa saa2.huwezi fanya kama saa4 hv?
 
Unapatikana wapi?? mimi ni profesheno kwa kazi hiyo...
 
Back
Top Bottom