JF kuna wenzetu wanawaza kwa Kiinglish | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF kuna wenzetu wanawaza kwa Kiinglish

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Aug 26, 2011.

1. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#1
Aug 26, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,303
Likes Received: 22,104
Trophy Points: 280
Akikasirika ndio utaona anavyotukana kwa kiinglysh.
Mtu akinitukana kwa makolokocho ambayo siyaelewi wala huwa siumii.
Ila yale matusi ya darasa la pili B kichwa kama boga huwa yananiuma sana.

2. Sumbalawinyo

Sumbalawinyo JF-Expert Member

#2
Aug 26, 2011
Joined: Sep 22, 2009
Messages: 1,286
Likes Received: 25
Trophy Points: 0
Buji utaniua kwa kicheko wallah, muda wenyewe wa futari bado na nguvu sinazo

3. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#3
Aug 26, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
afu kuna watu huwa wanaota kwa kidhungu! buji, njoo nikupe tuisheni japo broken

4. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#4
Aug 26, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,303
Likes Received: 22,104
Trophy Points: 280

Nimepata mwalimu anaitwa Half Crazy

5. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#5
Aug 26, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
omg! unaomba damu kwa maiti? bora mie itakua kuomba jamvi msibani,wanaweza kukuazima kochi! mweeh!

6. A

Ave Ave Maria JF-Expert Member

#6
Aug 26, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,757
Likes Received: 34
Trophy Points: 0
duh! Unamlipa bei gani au ni mwalimu wa kujitolea?

7. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#7
Aug 26, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,303
Likes Received: 22,104
Trophy Points: 280

:bange:

8. Kiranja Mkuu

Kiranja Mkuu JF-Expert Member

#8
Aug 29, 2011
Joined: Feb 18, 2010
Messages: 2,100
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

Unautani na NN na FF

Loading...