JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nilimwabia nichomeke akakataa, nikamwambia achomeke yeye akakataa, nikachomeka mimi akachomoa, mh nikasubiri usingizi umshike nichomeke wakati ninachomeka akanishika mikono na akasema nisichomeke...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Afisa misitu kaenda kwenye shamba la miti ya jamaaa kukagua.jamaa akamwambia asiingie sasahiv . Afisa akatoa kitambusho cha kazi." We ni nani wa kunizuia? kwa hiki kitambulisho ,hakuna wa kunizuia...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Barabara nyingi sana naona zimewekwa vibao vya kuzibwa njia. Vibao hivyo vimefunikwa kwa magazeti. Sijui itakuwaje vikianza rasmi kufanya kazi, nahisi badala ya kupunguza msongamano mjini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bibi kizee mmoja alikuwa anasafiri kwenye basi usiku na siti ya nyuma yake alikaa kijana mmoja. Wakati safari inaendelea akawa anainama chini ya siti yake anachukua kopo la castle na kulipeleka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
eti wana jf wapi ninaweza ku dwld kwaya za tz.kwa anayejua hiyo site anisaidie tafadhali!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Johnny wanted to screw a girl in his office.....but she belonged to someone else... One day Johnny got so frustrated that he went up to her and said I'll give you a 1000 dollars if you let me...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naamini walio wengi (sio wote) mlisoma kitabu chenye Title " Is It Possible?" na kile kingine cha " This Time Tomorrow" Basi siku moja Jamaa akawa anakanyatia kabinti kamoja ambako alikua anasoma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamaa flani baada ya kupata ajali noma sana akiwa ndani ya RANGEROVER yake aliskika akimlilia askari katika eneo la ajali 'mamaa yangu,RANGEROVER yaangu haijamaliza hata mwezi' askari akamtazama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwalimu mmoja aliwapa wanafunzi wake zoez la kuchora tembo..kila mwanafunz akawa busy akichora katika karatas lake..mwanafunz mmoja ambaye hakujua kuchora akaweka alama ya nukta katikati ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
A teacher in the class; Teacher;which crops do we export to europe and brings income? 1st Boy:Coffee Teacher:goog,how many types of coffee do we have in africa? The same boy:Two types Teacher;Very...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Boss aliingia afisini mwake asubuhi huku akiwa amesahau kufunga zipu ya suruali yake na kukumbana na sekretari aliemuuliza boss..je,ulipotoka nyumbani umekumbuka kufunga geti ya mahala...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
wakati wa kukata kata vitunguu lol
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Picha yako nimeiona katika kipindi cha kumbukumbu tbc cha watu ambao walikwisha fariki mwanawani ,sasa saina uhakika kama ni wewe ,ila kama siyo wewe nasamehe kumbe duniani ni wawiliwawili...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Siku moja nyani alitafuta all means za kujiua akakosa alipomkuta SIMBA amelala aliona ni poa amsumbue ALIWE afe ...........,basi alienda akamtia kidole NYUMA hadi simba akaamka ; SIMBA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama. "padri naungama dhambi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanajamvi, Wahenga walisema "Kweli itatuweka huru" na kwamba "Kitu anachoweza mtu mzima akiwa amekaa, kijana hawezi kukiona hata akiwa amesimama" hayo ndio maono na busara za wazee wetu, leo hii...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Viongozi watatu wa kitaifa wa CHADEMA wapo kwenye hatua ya mwisho ya mazungumzo kuhamia CCM. Habari za uhakika zilizopatikana kutoka kwa mmoja wa washiriki wa mazungumzo hayo zinaeleza kwamba...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Hebu nisaidieni mwenzenu kila kampuni ninayofanya kazi lazima ife ni gundu au?,iNikiwa kijana wa miaka 18 enzi hizo niliajiriwa TANGANYIKA PACKERS muda sio mrefu ikafa,nikatafuta kazi kwa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Je hii ni kweli? Na kama ndivyo,kwa vigezo gani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A woman wanted to reach her husband on his mobile phone but discovered that she was out of credit. She instructed her son to use his own phone to pass across an urgent message to his daddy who was...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…