Afisa misitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afisa misitu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Oct 28, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Afisa misitu kaenda kwenye shamba la miti ya jamaaa kukagua.jamaa akamwambia asiingie sasahiv . Afisa akatoa kitambusho cha kazi." We ni nani wa kunizuia? kwa hiki kitambulisho ,hakuna wa kunizuia nisifanye shughuli zangu!" Jamaa akamfungulia geti.
  Baada ya muda jamaa akamuona afisa akifukuzwa na nyuki huku akipiga kelele. "Mama nakufaaa!Nisaidie nyukiiii! wananiuaaa!!!"
  Jamaa akamwambia , " WAONYESHE KITAMBULISHO"!!
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Katika chuo cha wanyama pori,Mwalimu alitoa mtihani wa mwisho kwa kuweka picha za miguu ya ndege na wanafunzi walitakiwa kuandika jina sahihi la kila ndege kutokana na picha miguu.
  Mwanafunzi mkorofi alikagua maswali na kugundua hawezi kujibu hata swali moja.Ndipo alipoamua kupeleka karatasi yake ya kujibia pasina hata kuandika jina lake.
  Mwalimu alishtuka kuona jamaa kamaliza maswali 50kwa dk5.Wakati mwanafunzi ameshafika mlangoni ili atoke chumba cha mtihani,Mwalimu aligundua jamaa hajajibu swali hata1 na wala hajaandika jina lake.Ndipo alipomuita"we kijana simama.mbona hujaandika jina?unaitwa nani?"
  Mwanafunzi alisimama kidogo na kupandisha suruali ili mwalimu aone miguu huku akisema"angalia miguu utajua jina langu"
  kisha akatokomea
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mchina,Mzungu na Mbongo walitaka kuonyeshana ukali wa teknolojia zao Mzungu aliweka earphone wireless akitumia Bluetooth kuckiliza sim na nyimbo Mchina alikuwa ana saa ila inafanya kazi kama simu Mbongo akaumiza kichwa afanyaje ili naye aonyeshe yake!Akaenda chooni,aliporudi akarudi uchi huku amening'iniza toilet paper kwenye ******,wazungu wakaona huyu katuzidi akili,wakamuuliza hii nini? Akawajibu hapa natuma fax
   
 4. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hakya nani ningeua huyu mtoto!
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  naithi wani,dharau mbaya thana.nalog off
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Dogo nunda
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mbona haraka hvo,si una kitambulisho
   
 8. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa................................. kwa kweli umenichekesha sana, asante kwa kuifanya ijumaa yangu kuwa ya furaha. We mkali
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  teh teh teh si unajua teknolojia inapanda
   
 10. Z

  Zimba Senior Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtanzania kaibuka kinara. Ni noumer u made ma day!
   
 11. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Fax kwenye "P" au "K"?
   
 12. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  haha
  aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 13. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  chuo cha wanyama pori imefunika
   
 14. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  hehehehe mkuu umenikumbusha kipindi nasoma walinipa jina la mzee wa FAX.......mjini shule!
   
 15. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hah.! We mpuuzi kweli, wanivja mbavu zangu mie loh
   
 16. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hakyanani umenichekesha bure, hah ha hah.! Safi sana
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haaa haaaa haaaa!asante mkuu!
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haaaa haaaa haaaa,u made my day bro!
   
 19. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimecheka mpaka basi
   
 20. v

  valid statement JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  akome kabisa. Mambo ya kuwadharau watu wa chini kisa u bosi tu. Akome
   
Loading...