Nyani alipotamani kufa ,banaaeeeee

Nyani alipotamani kufa ,banaaeeeee

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,238
Reaction score
11,907
Siku moja nyani alitafuta all means za kujiua akakosa alipomkuta SIMBA amelala aliona ni poa amsumbue ALIWE afe ...........,basi alienda akamtia kidole NYUMA hadi simba akaamka ; SIMBA akauliza nani huyo ,NYANI;ni mimi...,SIMBA kuna yoyote ameona NYANI;Hapana..SIMBA; Basi fanya tena ,
 
Bhashabiki bha Yanga bhana, wanaifanya Simba ka babu yao!
 
Hamaanishi Simba sports club, ananaanisha simba mnyama.
Simba tuko juu daima
 
Halafu Si Unajua Mbele daima nyuma mwiko, hivyo atakuwa kapigwa mbele huyo lol.
 
Siku moja nyani alitafuta all means za kujiua akakosa alipomkuta SIMBA amelala aliona ni poa amsumbue ALIWE afe ...........,basi alienda akamtia kidole NYUMA hadi simba akaamka ; SIMBA akauliza nani huyo ,NYANI;ni mimi...,SIMBA kuna yoyote ameona NYANI;Hapana..SIMBA; Basi fanya tena ,

aaaaah kudadeki hii ni bonge la pumba.
 
Kumbe simba yuko kha ******* hahaha.....mjini shule!
 
Ha ha ha,hyo kal mkuu!so inamaana watt wa jangwan waliwapga dole simba na mbwembwe zke zote,akawa mpolee ka cyo yey!kumbe jina 2 linampa jeur,kanyan kanamweka dole kiulaini i i i
 
Ndio watu wa jangwani walifanya kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom