Jamaa kwa kupenda mali...

Jamaa kwa kupenda mali...

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
jamaa flani baada ya kupata ajali noma sana akiwa ndani ya RANGEROVER yake aliskika akimlilia askari katika eneo la ajali 'mamaa yangu,RANGEROVER yaangu haijamaliza hata mwezi'
askari akamtazama na kumjibu ' hivi wewee akili yako nzima kweli.unalilia gari kwani huoni kuwa mkono wako umekatika wote kutokana na hii ajali!!!
Duh! Jamaa kujicheki kweli hana mkono mmoja ndipo akapiga yowe zaidi na kusema ' maama weeeh! Saa yaaangu ya ROLEX!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom