Yuko kwa mbaaaaali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko kwa mbaaaaali

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by 2k Genius, Oct 29, 2011.

 1. 2k Genius

  2k Genius Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mwalimu mmoja aliwapa wanafunzi wake zoez la kuchora tembo..kila mwanafunz akawa busy akichora katika karatas lake..mwanafunz mmoja ambaye hakujua kuchora akaweka alama ya nukta katikati ya karatas jeup,harafu akampelekea mwalimu
  MWALIMU;we mbona hujachora chochote??
  MWANAFUNZI;mwalimu mbona nimechora kwan huon{huku akimuonesha ile nukta}
  MWALIMU;ndo nin hiki??
  MWANAFUNZI;ni tembo yuko kwa mbaaaaaaaaaaaali,tena anakunywa maji
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  vilaza ndo zao
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sijui kama mimi mwalimu nitafanyae!!!!!!!
   
 4. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  teeh teeh teeh!!! Kama mimi mwalimu nam-zoom huyo tembo ili niweze kumuona. Kweli ualimu ni wito.
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh watoto huwa na fikra za juu sana
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  hahahaaaa....!!nmeipenda.
   
 7. 2k Genius

  2k Genius Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ntawapa nyingine kali zaidi@dubu
   
 8. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha....umenikumbusha yule aliyeambiwa achore ng'ombe anayekula majani,yeye akachora majani mafupi mafupi....na mkia pembeni kabisa ya ile karatasi,alipoulizwa na mwalimu kwanini hajachora ngombe bali mkia tu alafu pembeni ya karatasi
  Dogo akajibu:-
  ww si ndo umechelewa kuja kumuangalia.!!?mm nimemchora lkn nilipomaliza tu mkia,akaondoka akaenda kula majani sababu alikuwa ashamaliza haya hapa,
  na siajabu na huu mkia nao ukaishilia,ulisahau kutuambia tumchore alafu tumfunge kamba.....teh teh teh teh...yaani ina maana ngombe alishafika pembeni kabsa na ile karatasi..
   
 9. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huyo atakuwa ni zero....mjini shule!
   
 10. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  dogo jiniazi, kwani we unadhani jua ni duara, sema tu liko kwa mbali
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haaaa haaa haaaa!
   
 12. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  dogo noma
   
 13. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahaha....challenge kwa mwalimu.....
   
 14. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  huyo dogo ni mkali ile mbaya.
   
 15. v

  valid statement JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kimetulia..
   
 16. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha.huyu ndio mkali wao.
   
Loading...