Ubatizo wa Mwita25 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubatizo wa Mwita25

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Elli, Oct 28, 2011.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi,

  Wahenga walisema "Kweli itatuweka huru" na kwamba "Kitu anachoweza mtu mzima akiwa amekaa, kijana hawezi kukiona hata akiwa amesimama" hayo ndio maono na busara za wazee wetu, leo hii nimeguswa sana na michango madhubuti ya kina mwenzetu (sijui kama ni Me au Fe - hilo sio muhimu kwa sasa).

  Umadhubuti wa michango yake hautokani na ukweli kwamba alijitoa kuisadia CCM la hasha bali ukweli kwamba, amyeafungua macho yake, akajitakasa, akaiona kweli na sasa yuko huru, hachangii kwa ushabiki, ni mwelewa lakini pia amejitahidi sana kuwepo hapa jamvini hata usiku wa manane (angali thread aliyoanzisha leo hadi asubuhi hii bado yupo na anaendelea kuchangia).

  Huu ndio ninaouita ubatizo wa kweli, wa kujivua uongo, unafiki na uzandiki na kuamua kuwa mkweli (sizingumzii itikadi yake ya chama chochote).

  Ningefurahi sana kuona na wale wengine, ambao najua wanafahamika kwa majina au hata kwa tabia waikiri ile kweli ili iwaweka huru, Mwita25 alisema ukweli kwamba alikuwa kama Sauli aliyelipwa ili kuikomoa na kuharibu mijadala ya maana kwa mustakabli wa Taifa (lengo lake na nia yake vinabaki sirini) ila sasa ameuona ukweli, nakutakia maisha yenye mafanikiona kamwe usirudi nyuma tena.

  Ila nina tatizo moja kwako, kwanini hua thread nyingi unaanzisha usiku sana, maana hata ile ya kujivua gamba ilianzi ndotoni, naikumbuka vyema sana...
   
 2. Imany John

  Imany John Verified User

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  vigezo.
  Aweke akaunti zake zote hapa hadharani,ili mods wazifungie.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi haya mambo ya kutafuta umaarufu kupitia mgongo wangu yataisha lini?
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  ina maana ana acount nyingine?? siamini huyu Mpwa namwanini sasa bana
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  hahahaaa Mwita25 bana, mie na uzee wote huu? huu ni mtazamo tu
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  We si unatumiwa wewe.
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Duh, hivi kumbe ndio hivyo eeeh, anapima upepo?
   
 8. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mimi nilimpngeza ila ile id yake nyingine vipi?
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  theteheteht!! Umaarufu hauji hivihivi!!
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ebu wakupatia jibu la uhakika tehetehetehe....
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hongera kwa kumsifia na kumpamba
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  anakaribia kuagana na wakuu hivyo anajiandalia njia
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Upatazo ni nini?
   
 14. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sio upatazo ni Ubatizo
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  kwa wale wenye imani fulani maana yake ni hii hapa:

  Ubatizo ni sakramenti ya kwanza ya Ukristo.
  Unaitwa "mlango wa sakramenti",
  kwa sababu ni lazima kuupokea kabla ya kupokea nyingine yoyote.
   
Loading...