Hataki kabisa

Hataki kabisa

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Nilimwabia nichomeke akakataa, nikamwambia achomeke yeye akakataa, nikachomeka mimi akachomoa, mh nikasubiri usingizi umshike nichomeke wakati ninachomeka akanishika mikono na akasema nisichomeke.
Duh huyu Amina hajui umuhimu wa net ya mbu.
 
Kwa hiyo uling'atwa na mbu usiku kucha kisa bwana shem kagoma uchomeke?
 
Ulivyoanza duh! Mh nikafikri mixas, hadi nikavurumisha....
 
Mkuu si ungepuliza dawa ya mbu kurahisisha kazi? Mtaviziana mpaka lini kwa zoezi la kuchomeka na kuchomoa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom