Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,804
Barabara nyingi sana naona zimewekwa vibao vya kuzibwa njia. Vibao hivyo vimefunikwa kwa magazeti.
Sijui itakuwaje vikianza rasmi kufanya kazi, nahisi badala ya kupunguza msongamano mjini, vitaongeza sana msongamano.
Mwenyekiti wa chama naona ameifunga rasmi ile barabara ya Ocean sehemu inayopita Ocean Road Cancer Institute, Ikulu hadi Feri. Sijui kwa nini ameifunga, maraisi wote waliomtangulia waliiacha wazi.
Yangu macho, maana twaweza ambiwa kuanzia 2012 kuingia town mpaka uwe na kibali maalum.