Sitasahau...na wewe nipe yako!

jockey emmanuel

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
330
50
ni asubuhi njema naamka najiandaa kwa ajili ya masomo yangu ya kawaida...ni jumatatu nyingine ambapo nipo ktk mfungo kwa ajili ya vitu fulani vinavyo husu maisha yangu.sina hili wala lile...tukiwa assembly narudi hadi mwisho kabisa wa mstari na kuanza kuwapa hi masela viranja nikiwa mmojawao.best yangu kiranja ananivuta pembeni na kuni uliza,"hivi unajua kwanini hukutajwa kwenye the new government ya xcul?" namjibu,"nijulie wap?nipe umbea vp naona health prefects wota hatujatajwa..."....ananipa mchapo kuwa kumbe sisi tunasaidia tu hatufai ni IRRESPONCBO KABISA,moyo ulipasuka kwa kile nilichokisikia,skutaka kuamini...jamani mashuka ya sickbay nimefua hadi sabuni imeniishia naanza kuomba kwa wenzangu,nashinda jikoni kusubiria wagonjwa ili niwachukulie food napoteza muda mwingi sana kwani wanachelewa,nawachukulia food tea break,lunch na dinner halafu the so-called wateva wananiita mi nani?haiwezekani!yani wanajamvi nilipata hacra za kuua m2,...nkasema leo naenda kuongea hadi shule mimi sasa bac nifukuzwe tu yaishe lkn sio kuniita irresponcbo.NKAENDA HADI ADMIN,hasira kama mbogo aliyejeruhiwa!bahati nzuri nkakutana na ticha flani best yangu sana,akaniita kwa upole na kunikalisha chini,"tatizo nini tena my dia student?",...nkaflow pale mwanzo mwisho machozi yakinitoka kama chemchem za maji.akanipa somo la ukwee akisema,"achana nao,we ol knw dat ua responcbo.tek tym 2 study acha kupoteza muda.we want to c u shinning again lyk b4..hv hujaona kuwa jina lako lishaanza kupotea midomoni mwa watu?lirudishe tena,do wonders in ur tahossa exams.i love you xo much n i knw dat u are the best student.lyf goz on my dear,4get abt them focus on ur studiz n get as many tahossa awards as pocbo then u wil astonish them"..nilitoka pale na ujasiri mwingi hakika nikielekea darasani kusoma ili kuhakikisha kwamba i show them that im responcbo n return the fame of my name as the kipanga!...nambie nawe kipi ulichowahi kupitia ukiwa kazini,shuleni ama kokote pale kilichokupa hacra za kunyonyoa mtu vinyweleo?
 
Acha wewe mambo niliyopitia ni so acha usinikumbushe yani mpaka sasa nipo via mobile namshukuru mungu sana ni misukosuko mikubwa sana niliyopitia.......
 
Uandishi gani sasa huu??...
Kabla hujaandika ni bora ujipange..
Au umeikuta mwenye PC kaenda dukani?
 
Hivi siku hizi huwa wanapewa vile vyeti vinaitwa leaving certificate??......sijajua kazi yake ilikuwa nini mimi.
Anyway, sijawahi kupata kazi kwa kutumia certificate yangu yeyote.....elimu ni uwezo, sio cheti...ukishuka nondo watu wanajua hiki kichwa sio lazima waone makaratasi....damn.
High skul! Tupe matokeo ya mtihani kwanza basi.
 
Ngoja tu nikusaidie maana umenikumbusha jinsi nilivyokula hela za ada halafu
siku zile si unajua fedha tulikuwa tunapewa mkononi yaani si kama siku hizi.
Duh! Utaratibu ukabadilika pale shuleni tukaanza kula kwa kutumia Meal card yaani
kama hujalipa hupewi ......... Ilikuwa balaa! yaani EPA nilianza mimi maana jinsi
nilivyofoji hiyo meal card si mchezo ni ZAIDI YA EPA.

We vipi hujawahi kula ADA?
 
Back
Top Bottom