Jeshi limeamua kuja na ndege aina nyingine tofauti na zile zinazopita kasi. leo wanazunguka kwa ndege moja kubwa sana yenyewe inapita chini sana ikikwepa majumba marefu. kidogo bawa lake liguse...
Kutokana na ugumu wa maisha nimeamua anzisha kampuni ya kutafutia watu wachumba gharama itafwatana na specification unazotaka. Watu wengi wametumia huduma yetu na leo wanafurahia ndoa zao...
Najua kuna wanaume wengi ndani ya ndoa wanakua wana wanawasi wasi na watoto wanaowazaa kama ni wao au sio esp kama mtoto hafanani na baba kabisa.
Kudhibitisha kama ni wa kwako lazima DNA itumike...
Mwanamke Aisha Babu amekuwa akiwa akiwaumiza vichwa viongozi waandamizi wa jeshi la polisi nchini.
Polisi wetu wameshindwa kumdhibiti mwanamke huyo, hivyo basi wameamua kupiga marufuku mikutano...
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja...
"Wakati tunaelekea X-mass 2011, nakuombea furaha yako iongezeke kama bei ya petrol, utu wako uwe juu kama posho za wabunge, mashaka yako yapungue kama kura za CCM 2010, ila Umaarufu wako uongezeke...
A bit funny but with full of truth.
A Poem For Those Over 50Submitted by: scrap-happy-mom
Author: Author Unknown
A computer was something on TV
From a science fiction show of note
A window was...
nds Messages Mlokole: "Nyimbo gani
mnapiga?!? Wekeni
nyimbo za yesu.."
Konda: "Vunga wewe, Yesu
bado hajatoa album..."
******************************** Abiria: "Kuna Kiti au
unasema panda...
Wachezaji hao ni godfrey taita na nurdin baakari
hope mnaweza jua sasa matokeo mabaya yanatokana na nini??kocha julio amewafumania wachezaji wawili wa kilimanjaro wakiwa na mwanamke ndani...
Salaam JF.
Hili likoje members...
Nmepita ofisi nyingi za kudai haki nmewakuta watu wazima ambao walikua watumishi katika sectors mbali mbali....nkijiuliza walipo kua wakiwajibika ndio waliokua...
I was on my day dream when I heard David Cameron praying to God for some answers.
Cameron: Oh, God, is homosexual against your design of human nature ?
God : Yes my son, Cameron...
Doctor : What happened to your arm?
Oludhe : I broke it.
Doctor : Where and How did that happen?
Oludhe : Okey. It was a normal Saturday afternoon. I was on the second floor balcony of...
Yaani tangu laptop yangu izingue napata wakati mgumu sana kuingia JF, raha sina, amani imetoweka, apetite imeshuka, tabasamu limepotea, uchovu mwingi, yaani hapa taabu tupu. Hivi JF nimeikosea...