Nimekaa hapa barazani nawasubiri wee hamuonekani
Tupooooo!
Lete story.
usiku mwema kwa kifaransa wanasemaje?
Bonne nuit... fait des beaux reves (usiku mwema, sweet dreams)usiku mwema kwa kifaransa wanasemaje?
Nimeshamaliza kazi ya ndoa niliyojichagulia!!Itabidi niombe mechi ya kirafiki maana na wewe unahanja hanja tu humu
afu yule mtu ananikondesha mie?!
Ila dawa yake iko jikoni, kweli ntambandika ulimbo siku moja