Wa kusoma JF-Expert Member Jul 30, 2011 3,454 2,975 Dec 7, 2011 #1 Nina video clips nzuri sana ila ninashinwa kuzipost hapa jf nifanyeje? nielekezeni namna ya kupost video
Nina video clips nzuri sana ila ninashinwa kuzipost hapa jf nifanyeje? nielekezeni namna ya kupost video
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,175 Dec 7, 2011 #2 kabla ya kupaste, lamba kidole kinachobonyeza mouse. yale mate yananatisha video kwenye jf angalizo: usiweke mate meengi sana italegea.
kabla ya kupaste, lamba kidole kinachobonyeza mouse. yale mate yananatisha video kwenye jf angalizo: usiweke mate meengi sana italegea.
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,375 Dec 7, 2011 #3 Wa kusoma said: Nina video clips nzuri sana ila ninashinwa kuzipost hapa jf nifanyeje? nielekezeni namna ya kupost video Click to expand... dogo hebu shuka chini jukwaa la sayansi kuna magwiji watakujuza hata usiyoyauliza
Wa kusoma said: Nina video clips nzuri sana ila ninashinwa kuzipost hapa jf nifanyeje? nielekezeni namna ya kupost video Click to expand... dogo hebu shuka chini jukwaa la sayansi kuna magwiji watakujuza hata usiyoyauliza