Wachezaji wa kilimanjaro wafumwa na mwanamke chumban;kila mmoja asema sio wake

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Wachezaji hao ni godfrey taita na nurdin baakari
hope mnaweza jua sasa matokeo mabaya yanatokana na nini??kocha julio amewafumania wachezaji wawili wa kilimanjaro wakiwa na mwanamke ndani hotelini...wachezaji hao ni nurdin bakari na godfrey mtaita na wakati julio anaingia ndani alimkuta godfrey yuko kwenye hali ya kimahaba huku nurdin akitrudi chumban toka chooni...habari zaidi zinasema godfrey alipoulizwa akasema yeye hamjui huyo mwanamke so aulizwe nurdin wanaokaa nae hata hivyo nurdin alipoulizwa akasema ninyi si mnajua tuko wawili sso kamuulizeni mwenzangu

hata hivyo wachezaji hao wametolewa kafara na kurejea mtaani kuendeleza upumbavu wao wakiwa nje ya mashindano.....

Je julio hukuwahi kulala na mwanamke chumbani ukiwa simba hili ndilo swali la kujiuliza
 
Sijui wanandoa zao maskini maana hadi magazetini sijui wamejibu nini huko nyumbani
 
Inaelekea walikua wanamchakachua wote kwa mpigo.si unajua vijana wetu damu zinachemka wanataka kujaribu kila kitu?Nchi hii haina mwenyewe kila mtu anajifanyia analotaka.hakuna discipline.
 
Tatizo wachezaji wetu wanapenda NGONO ZEMBEEEEEEEE iyo ndi faida yao! wakirudi kwa wake zao ndio watajua faida na hasara za kuendekeza NGONO ZEMBE.
 
aseeee bado nahangaika kuziba mashimo ya ngorongoro crater..... habari za kwako aseeee
Shwari kabisa mkuu kitambo man...sasa jitahidini basi leo mpige tunguli wewe na Klorokwin ili hawa jamaa wapite maana leo wasipopita CECAFA mapato yao na mingo zao kwishney
 
Shwari kabisa mkuu kitambo man...sasa jitahidini basi leo mpige tunguli wewe na Klorokwin ili hawa jamaa wapite maana leo wasipopita CECAFA mapato yao na mingo zao kwishney

aseeee leo mi mmlawi.......we timu ina vijeba ka saidi maulidi unatetegemea nini!
 
sio jambo la ajabu kwa wachezaji wetu....
mkuu tatizo sio tu kulala na mwanamke je walikumbuka condom
maana alivyojibu julio inaonyeshwa kama alipigwa mande yule binti kwanza akamkuta taita yuko na taulo alafu demu ndani alafu nurdini anarudi katoka kuoga chumba hiko hiko inaionyesha labda alianza nurdin akaenda kuoga kuondoa nuksi matokeo yake tunafungwa ajui yale mambo yanachukua masaa 72 kuondoka mwilini
 
tatizo wachezaji wetu wanapenda ngono zembeeeeeeee iyo ndi faida yao! Wakirudi kwa wake zao ndio watajua faida na hasara za kuendekeza ngono zembe.

mkuu nimeongea na kiongozi mmoja wa cecafa kama ataturuhusu kila baada ya mechi tugawe condom uwanjani bure nasubiri jibu lao kuna umuhimu sana maana hawa ni watanzania hao wanje wasiojali kila mlupo wao si ndio hatari wakenya walikuwa wanajazana afrikasana kama awana akili
 
Ukiwa unafanya sana mazoezi (eg. Kucheza Mpira); Mwili unazalisha sana Hormone za Kiume (oestrogen if am nt mistaken)
Sasa zikiwa nyingi sperm production inakua kubwa so libido nayo inakua juu.
Solution ni kupunguza (kufanya ngono au kujichua); usipofanya hivyo unakua unahisi mwili mzito

Kwa hiyo hao vijana walikua wanajiweka fit kwa mechi.
Makocha wenye uelewa wanaruhusu ngono before mechi.

Tatizo ni chakula na pombe. Ngono Salama kabla ya mechi sio Tatizo.
 
Inaelekea walikua wanamchakachua wote kwa mpigo.si unajua vijana wetu damu zinachemka wanataka kujaribu kila kitu?Nchi hii haina mwenyewe kila mtu anajifanyia analotaka.hakuna discipline.

una maana walikuwa wanapiga mtungo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom