Kampuni ya Kukutafutia mchumba.

Kampuni ya Kukutafutia mchumba.

mbweta

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
600
Reaction score
81
Kutokana na ugumu wa maisha nimeamua anzisha kampuni ya kutafutia watu wachumba gharama itafwatana na specification unazotaka. Watu wengi wametumia huduma yetu na leo wanafurahia ndoa zao. Twawakaribisha wote, nw tupo dar ila branch zetu za Mikoani zinafunguliwa ivi karibuni.
 
Inaitwaje hiyo kampuni kaka....nashauri iitwe domo zege entertainment.....
 
Nisaidie kupata mchumba anayeitwa Faiza Foxy.
 
namtafuta mwenye hii kampuni awe mchumba angu.
 
Inawezekana hii kitu kweli? Au mwanzisha kampuni ni zege domo kwa hiyo anatafuta kampani ya wazege domo wenzake.
 
Tehe Tatizo hamkawii ku test kwanza wenyewe, halafu ndo mnawaachia wateja wenu
 
Inawezekana hii kitu kweli? Au mwanzisha kampuni ni zege domo kwa hiyo anatafuta kampani ya wazege domo wenzake.

Jamani sio domo zege nimeona watu wapo bize sana ivo utumia mda mchache kutafuta wenza wakati inatakiwa tumia mda mwing ivo nimeona mie niwe bize kutafutia hao watu wenza.
 
Nitafutie mmoja anaanzwa na Husninyo!.
 
Back
Top Bottom