Hawa waliomaliza muda kazin ndio waliotufikisha hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa waliomaliza muda kazin ndio waliotufikisha hapa!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ndevu mbili, Dec 7, 2011.

 1. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Salaam JF.
  Hili likoje members...
  Nmepita ofisi nyingi za kudai haki nmewakuta watu wazima ambao walikua watumishi katika sectors mbali mbali....nkijiuliza walipo kua wakiwajibika ndio waliokua wakitetea maslahi yao...mpaka sasa tunalaumu nchi ya Tz haijali watu wake ni ajili ya hawa watumishi walio maliza muda wao.
  Je wakiwa wanalaumu wakti wanadai haki zao ni sawa waharakishiwe au wacheleweshewe?
  Nin mawazo yako?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  bado una nafasi ya kuchange direction ili baadae tusilaumiane.

  Play ur part, change beggins with u
   
 3. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jitenge nezee mafao yako .... yasije kkukuta ya wazee wa africa mashariki:bolt:
   
Loading...