Dah Nimewamiss sana!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Yaani tangu laptop yangu izingue napata wakati mgumu sana kuingia JF, raha sina, amani imetoweka, apetite imeshuka, tabasamu limepotea, uchovu mwingi, yaani hapa taabu tupu. Hivi JF nimeikosea nini?? Yaani nawamiss sana hasa kipindi hiki tutapojiandaa na maandalizi ya X-Mass. Nawamiss sana AshaDii, Lizzy, The Rock, AfroDenzi, Dena Amsi, Rejao, Desideii(amenitosa), Asprin, Feis Buku, Roullete, The Finest, Fidel80, Washawasha(mzee wa nalog off wakati yupo), FaizaFoxy, Gaijin, Bujibuji,The Boss, Mwanajamii1(sielewi yuko wapi), Klorokwin, na members wooooooote nisiowataja..nawa,iss ,mno bazeeeee!!! We acha tu.
creppyblackman.gif
Merry-Christmas-gif.gif
ddddddd.gif
merry_christmas_7.gif
 
Mmmh, japo hujanitaja.
Kwanza najikaribisha nyumbani kwako kwa pilau

afu weye si ndo huwa lipaka linalontisha?
Baada ya hayo maana jf nayo ni ulevi kuukosa pole zako.
 
Mkuu pole sana
Ila tafuta hata kasimu ka mchina tuendelee kuwasiliana bana
 
As long as bado sijawa mwenyeji sana mpaka unitaje,
Naomba kujipendekeza tu hapo,
Nikukupe pole na kukutakia maandalizi mema ya XMASS NA MWAKA MPYA.
 
Mmmh, japo hujanitaja.
Kwanza najikaribisha nyumbani kwako kwa pilau

afu weye si ndo huwa lipaka linalontisha?
Baada ya hayo maana jf nayo ni ulevi kuukosa pole zako.

wewe mkuu wivu ni kidonda ukiushiriki utakonda bure...:poa
 
ndetichia unatisha asee ulianza na jf ilipoanza nini..! mzee post 5209...? wewe ni nooma asee chaliiangu..! haaa
 
we missed you too.
Umekosa vingi but you can catch up now, soma soma tu past threads ujionee.
Hakikisha unasoma Thread ya Afrodenzi about family planing (na uchangie, kama kuna ambacho hakikusemwa), pitia thread ya EMT about UTU (ila Azimio Jipya kapiga coup d'etat na kaji-appropriate thread ya watu), kuna thread ya "thank you" toka kwa Lizzy inaendelea sasa hivi. Upande wa utambulisho kulikua na members wengi ila the most spectacular guest was Mzee wa ....., he had to be evicted, JF ni jukwaa la heshima! lol
Chit chat we had a bbq kwa the finest last weekend na Feis Book alitualika kumuona Fally.
Kwa upande wa siasa na dini muulize King'asti (hope you don't mind sis).
Karibu
 
habari za maonesho ya kule kwetu,
je wale wa kijiji cha wachawi walituma wawakilishi?
welcome back.
 
salam kwa baba na mama,
nazituma kwa furaha,
ziwafikie wote bila manung'uniko
wapenzi eeehhh!
Mere x mass!!!!!!
 
Huo ni wivu au nabweka anione.

babu biashara matangazo, weka embe zako chumbani kama hazijakuozea.

Niache nitafute vakesheni babu kwa raha zangu Spain

wewe mkuu wivu ni kidonda ukiushiriki utakonda bure...:poa
 
Back
Top Bottom