Rap ya huyu bibi imenifurahisha sana

Rap ya huyu bibi imenifurahisha sana

Haaaaaaa umemuona bibi anachana mistari huyo,haaaaaaaa nitamuweka asubuhi nishazima laptop.
 
Haaaaaaa umemuona bibi anachana mistari huyo,haaaaaaaa nitamuweka asubuhi nishazima laptop.
haaaaaaaaaaaaaaaah huuuuuuu sasa kwanini umzima laptop na nsimu halafu wiwi umitimai hii meseji umitumii nini kusendi hiuiu kityu aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal
 
alilkuwa akihojiwa na mlimani tv katika kijambo cha wiki juu ya miaka 50 ya uhuru.mia

sasa mkuu na hii style yako mpya ya siku hizi ya kuwa unatu'postia' nyuzi mpya hapa halafu unatuacha hewani mi siifagilii kabisa, yan kwa nini usiwe unamwaga full datawewe figganigga mzee wa 'mia'!
 
sasa mkuu na hii style yako mpya ya siku hizi ya kuwa unatu'postia' nyuzi mpya hapa halafu unatuacha hewani mi siifagilii, yan kwa nini usiwe unamwaga full datawewe figganigga mzee wa 'mia'!

Mkuu nmejaribu kuiweka lakini haitoi sauti. nimeamua kuitoa na nmewatua support@jamiiforums.com. wataiweka msipate tabu. mia
 
mkuu vipi imekubari? Mimi natumia simu naweza kuisikia?. Over
hamna lolote invisible sijui kaamkia wapi bwana mi hiyo play siioni labda ana lake jambo na huyo bibi anaplay kwake tu loh
 
hamna lolote invisible sijui kaamkia wapi bwana mi hiyo play siioni labda ana lake jambo na huyo bibi anaplay kwake tu loh

kabadilisha tena. amesema udownload. mwenzio natumia kasimu ka mchina. hebu msikilize halafu uniandikie hapa mistali yake niitathimini. over
 
Back
Top Bottom