Tangazooo! Tangazoo! Tangazoo!

Tangazooo! Tangazoo! Tangazoo!

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
1,132
Reaction score
188
Kulitolewa tangazo: mtu akiwa na watoto 10, anapata zawadi ya gari na nyumba, jamaa mmoja akamwambia mkewe sisi tuna watoto wa wanane (8), nisamehe ninao wengine wawili (2) nje ya ndoa naenda kuwachukuwa.
Aliporudi wale wanane (8) hawapo.
Mke akamwambia Mumewe nisamehe watoto wote wamechukuliwa na baba zao. Kama ungekua wewe utafnyaje??
 
Kwani ni dhambi kwa mpemba kufikiria kitu kingine zaidi ya kuoa na kuzaa?
 
Ndo maana ukaambiwa mzazi wa kweli ni mama tu,mama hasingiziwa mutoto.Kama ni mimi chakufanya ni kutulia tu,maana hata hao wawili nilioenda kuwachukua huenda siwangu pia.
 
Kweli mkuu ni kutulia maana hata hao wawili unaweza kuja kunyangánywa tena! Daaah! kazi ipo hapo.
 
Back
Top Bottom