praise the lord...

praise the lord...

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,769
Reaction score
63,110
"Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel" which is translated, "God with us."
. (matthew:1;23). praise the lord..
I love you & blessed. Mia
 
And in the next two weeks we will celebrate the birth of Jesus Christ....be blessed too Figga
 
samahani mkuu figganigga, wewe ndo wa kule kule kwenye
jukwaa la kikubwa? nauliza tu lakini.
 
"Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel" which is translated, "God with us."
. (matthew:1;23). praise the lord..
I love you & blessed. Mia
Amen,
Haleluya,mia.
 
samahani mkuu figganigga, wewe ndo wa kule kule kwenye
jukwaa la kikubwa? nauliza tu lakini.

mamndenyi mbona unaanza kunichokoza jamani!?..Kwani jukwaa la kikubwa nimefanya nini?...mkuu mimi ni binadamu kama wewe. nakutakia siku njema yenye furaha. Ubarikiwe sana mama yangu. hivi ile bodaboda ulipata?..unaona inalipa?. Mia
 
asante kwa hilo la siku njema, na wewe ubarikiwe sana kijana wangu,
ile hela ya bodaboda nilikula,
najipanga upya tena
 
Back
Top Bottom