Umetumia fedha kiasi gani kuchangia harusi, send off, birthday, n.k mwaka huu 2011 pekee?

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Members kila mmoja ajipime kwa mwaka huu tu wa 2011 tangu January mpaka utakapoisha 31/Dec, utakuwa umetumia kiasi gani cha Fedha kuchangia harusi, send off, birthday party, kipaimara....n.k n.k
Ni lini hii michango itakuja kwisha???
 
Sijachangia hata mmoja katika hiyo

Nimechangia kwenye elimu, afya na maji
 
Mkuu, najipanga kutochanga mwakani maana Mwaka huu... ngumu kumesa.. nimetumika sana
 
Back
Top Bottom