Tuongeze wigo wa kodi kwa kufanya hivi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuongeze wigo wa kodi kwa kufanya hivi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Vato, Nov 26, 2011.

 1. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Kwa kuzingatia uhalisia kuwa harusi nyingi za siku hizi zinagharimu mamilion ya pesa kwa starehe ya siku 1 au 2 tu,

  na kwakuwa serikali haina fedha na hvyo kuna haja ya kubuni vyanzo vipya vya mapato ilikuongeza mapato ya ndani na kupunguza utegemezi kwa kina Cameron,

  Itaanzishwa kodi maalamu itakayotozwa ktk bajeti ya harusi zote ktk kiwango cha mpaka asilimia 10% kwa kutegemea ukubwa wa bajeti yenyewe katika utaratibu kama wa PAYE.
   
 2. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sitafunga ndoa nam2pia ndan tu!
   
 3. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Napendekeza watoze VAT kuanzia vinywaji, vitafunwa, zawadi, mavazi na pete zao. 10% ni ndogo mno.
   
 4. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Utakuwa unazini mkuu. Onyesha uzalendo wako na mapenzi yako kwa nchi. Kumbuka nchi inajengwa na wananchi kama wewe kupitia kodi zao.
   
 5. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  kodi haitachajiwa kwenye vinywaji. Maelezo ya msingi na Modus Operandi ya kodi itakuwa kama ifuatavyo:
  Hyo kodi itaitwa Kodi ya sherehe ya ndoa. Kiasi cha kodi kitakuwa kinatozwa kwenye Bajeti nzima ya gharama za harusi yenyewe, kiwango cha kodi kitakuwa kina badilika kutegemeana na ukubwa wa bajeti. Kuna bajeti ztakazotozwa 2%, 4%, 6%, 8% na top ya 10% kwa harus za gharama kubwa..
   
 6. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kwani unaoa serikali au mkeo ni mali ya shirika mpaka ulipie PAYE...hapa inabidi waangalie huduma za nje kama milupo
   
 7. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Vyote hivyo vinatozwa VAT kwa sasa,kila utakapovinunua!
   
 8. Ntumami

  Ntumami Senior Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbona dawa ni ndogo sana, unafunga ndoa ya kimya kkimya bila sherehe... yaani kwa mfano kama ni mkristo, unaenda kwa mchungaji\padri na mashahidi wenu wawili na kupata viapo vya ndoa then maisha yanaendelea... without sherehe!!! saaaaaaaaaafi

  tena kaka zitozwe kodi sio harusi tu, kuna graduations, happybirthday, annivesary na hata ubarikio\komunio


  ila hata misiba aiku hizi kuna baadhi ina bajeti kubwa!! sijui na huko tufike?!?!?
   
 9. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mmmh !
   
Loading...