***************************** | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

*****************************

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Dec 11, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Jamaa alikuwa na girlfriends watatu,akaanza kuwaza amwoe yupi kati ya hao.
  akawapa kila mmoja milion 5 ili aone kila mtu ataitumiaje.
  Girlfriend wa kwanza akaenda supermarket akanunua nguo,viatu,mikufu ya kila aina,
  akaingia saloon kutengeneza nywele,halafu akarudi kwa jamaa na kumwambia
  nimenunua hivi vyote ili nipendeze ili unipende daima.
  Girlfriend wa pili akarudi akiwa amenunua,tv,redio,cd & dvd player,meza na viti,
  halafu akampa mshikaji ili watumie kwa maisha yao wakioana.
  Girlfriend watatu akafanya biashara ndogo ndogo ile hela ikarudi mara mbili,
  akafungua duka na kumrudishia jamaa million 5 yake,akamwambia million 5 hiyo
  ikusaidie na hii itakuwa duka letu.
  Cha kushangaza ktk uamuzi wake jamaa akaamua kumwoa mwenye chuchu na makalio makubwa.
   
 2. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Stori imeanza vizuri ila mwisho huyo mwenye makalio makubwa hakutajwa.
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  James:mambo mrembo
  Mrembo:poa mambo vp loverboy
  James:naweza nikakufahamu zaidi?
  Mrembo:nina miaka 19,mrembo wa ukweli,hips nzuri,chuchu saa sita,lips tamu.
  James:Mhh nimeshakupenda,mi nina miaka 52,kifua kipana
  Mrembo:miaka 52?lol kama umri wa baba yangu
  James:nina miaka 52 ila napenda kutembea na visichana vidogo.
  Mrembo:una mke?
  James:nina mke ila sio sexy kama wewe,nina binti pia ana miaka 19 ila yupo sebuleni anafanya homework na rafiki yake
  Mrembo:sasa kwanini unapenda visichana vidogo?
  James:ni watamu balaa we acha tu
  Mrembo:pia napenda wazee wenye umri wako,wanaotoa ipad,iphone,na cash
  James:nitakupa hivo hata zaidi ya hvo
  Mrembo:naomba tukutane mana mi nipo Masaki
  James:Labda niambie kesho nije kukuchukua na benzi langu jipya.
  Mrembo:Kesho nina darasa,ngoja nifanye homework tutachat kesho mana baba yangu ni mkali
  James:shule ni mhimu sana,niambie h/work ninaweza kukusaidia pia.
  Mrembo:usijali nafanya h/work na rafiki yangu anayeitwa Lucy.
  James:Mercy huyo ndo wewe?
  Mrembo:Baba kumbe ndo wewe?

  otea kilichotokea
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  wavuta bangi watatu waliona ndege ikipita. Mmoja akasema, "ile ndege ni ya Obama ile...hivi sasa yaelekea Marekani." Wa pili akasema, "la hasha...hio si ya Obama. Hii ndege ni ya Kibaki. Si waziona hizo rangi za bendera ya Kenya?"
  Basi, wa tatu akawaambia, "wallahi nyi wote machizi freshi. Vipi itakuaje hizo ndege ni za Obama ama Kibaki? Mi sidhani kama ni zao kabisaa!"
  "kwanini?" wale wawili wakamuuliza kwa pamoja.
  Akawajibu, "sababu kama ni zao, tungeona pikipiki zikiwa mbele.
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahahaha kukariri kubaya sana pikipiki angani lol
   
 6. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  We ni nouuuuumar exellent!
   
 7. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Wabongo na mademu bwana, kumbukeni ile stori ya talanta 3, 2 na 1 kwenye biblia.
   
 8. v

  valles New Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daaah pikipiki angani
   
 9. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mtoto wa mwenzio mwanao,
  nilimsikia jamaa mmoja anasema mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio.
   
 10. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Intro - A
  Main body - A
  Conclussion- F
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  huyo mwenye chuchu na makalio makubwa ndiye aliyefungua duka
   
 12. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ekthelent,hapo mimi thijakuelewa aithee.
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  yuko sahihi ila hakutuambia kati ya hao ni yupi alikuwa na inye na yupi kipotabo,hope mwenye duka hakuwa na inye.
   
Loading...