Nimemchenjia nasitisha huduma kwa mwezi mmoja kama adhabu.
Nimemchenjia nasitisha huduma kwa mwezi mmoja kama adhabu.
Lazizi wangu kanitumia meseji ikiwa imepambwa kistadi kweli huku akigani mashairi akinitakia usiku mwema mwishoni inasomeka "usiku mwema na ndoto njema mama ninakupenda na ninakuahidi kukupenda milele" hapa amepaste au david cameroun? Mia
hahahahaaa!!! Mpwa ukiona manyoya...............!
Afadhali uchukue manyoya na kamnyama kako utambae, manyoya utashonea kivazi cha kuchezea ngoma, kamnyama kako utaendelea kukatafuna.
Ukizira, watakula kila kitu. si unajua wamepewa ruhusa na Cameroon na Obama?