JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nilipowauliza kulikoni raundi zinazungushwa as if hawayaoni hayo maji, wakanijibu, eti waogope maji kwani wao ni wakinakatope? Ikabidi niondoke taratibu na siku kadhaa baada ya tukio hilo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
unapokuwa high xkul unaona function nyngne kwenye calculator n impocbo 2 reach,bt ukiwa engineering utatamani kuipasua...see the attachment
0 Reactions
0 Replies
890 Views
(Mlevi#1);Mi nataka kununua dunia. (Mlevi2);Huwezi. (Mlevi#1);Kwanini siwezi?>>>>>> (Mlevi#2);Huwezi kwa sababu sina mpango wa kuiuza dunia.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jana jioni Alionyenshwa mtoto kapotea ktk ITv, alipo hojiwa ilikua hivi Aliemukota: unakaa wapi? Mtoto: nyumbani. Aliemuokota: nyumbani kwenu wapi? Mtoto: kwa babu Alomuokota: babu yako...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Yaani mi sijui nanzie wapi maana nimepita katika haya makanisa mapya, tena mengi ni yale yaliyopanga kwenye chumba cha 12x12. Nusu ya chumba kinamezwa na spika. Basi wakianza utasikia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Tanzania haswa jiji la Dar tofauti na miaka ya nyuma watu wameuanza mwaka mpya jana lakini tayari wameshachoka hawana matumaini wapo wapo tu ndugu watanzania...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kila sekunde 60 hivi vitu vinatokea katika internet
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Pigia kura wanawake
1 Reactions
22 Replies
3K Views
4 REASONS WHY DOGS ARE BETTER THAN WOMEN 1)dogs obey when u shout at them 2)dogs dont shop(shoping) 3)u can give away your dogs children but not woman child 4)any guy can get a good looking...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
attachment inahuuuu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Haya ni mazungumzo ya mama na mtoto kwa msg.... Mother: I love you Son, you should come with me to church this Sunday it is going to be great.. Son: Shit I just want some head tho I...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Hivi jamani ni umri gani antakiwa mwanaume kuanza kujamiiana????
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Tafadhali jaza maswali kwa usahihi kisha bonyeza "Enter"
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanandoa waliokuwa na matatizo ya ndoa yao walikwenda kwa mchungaji kusuluhishwa, baada ya mchungaji kusikiliza hoja za pande zote, aliwapa ushauri kisha akawataka wote wapige magoti ili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Afisa msitu kafika maporini kukagua misitu, mlinzi akamzuia kuingia. Afisa misitu akatoa kitambulisho " we ni nani kuniizuia? kwa hiki kitambulisho hakuna atakae nizuia kufanya shughuli zangu hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kulikua na shamba moja ambalo lilipanda miti mingii ya matunda" Kwakua miti ile ilikua karibu matunda yake yakaanza kupiga story CHUNGWA - mimi naona nafanana sn na jua TUFAA - jamani mie naambiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kwa mtazamo wangu chadema waliibuka washindi hasa kwa kuipelekesha serikali ya ccm kiasi cha kutekeleza sera za chadema( swala la katiba)
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf nawatakieni heri ya mwaka mpya.jamani naomba mnijuze maana ya jina hili maana nimepata msh katika mchina wangu nanukuu"waitu nakutona eibala ly'omwaka 2012 ni wechonche " akina...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
-Enzi za mwalimu msichana akitongozwa analia na lazima akamwambie mama yake,lakini siku hizi ukimtongoza binti anajibu 'nakupenda pia ila unashilingi ngapi?' -Enzi za mwalimu gesti zilikuwa...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Wadau awali nilipata changamoto ya fikra thread hii niiweke jukwaa lipi ! Hatimae nikajiridhisha kua hata MMU itafiti, kwani nikikusudiacho kinaweza kuvunja/kuhatarisha MAHUSIANO & URAFIKI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom