Mwaka 2011 ulikuwa ni mpambano kati ya ccm na chadema( nani aliibuka mshindi kati yao?)

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Wadau kwa mtazamo wangu chadema waliibuka washindi hasa kwa kuipelekesha serikali ya ccm kiasi cha kutekeleza sera za chadema( swala la katiba)
 
Chadema wako juu kwa kuwa wanatetea maslahi ya wananchi walio wengi ila CCM ni pesa kwenda mbele na kuwaza madaraka tu.
 
Mnaongelea nn? ushindi wa mezani? Au best luzzer? Ccm na cdm nani yupo madarakani, na ninani kati yao anaomba mahitaji kwa mwenzake'. Jibu la mshindi lipo kwenye maelezo haya.
 
Wadau kwa mtazamo wangu chadema waliibuka washindi hasa kwa kuipelekesha serikali ya ccm kiasi cha kutekeleza sera za chadema( swala la katiba)

CDM walipigwa bao kotekote,
ila kwa msaada wa NEC, Mahakama, Jeshi la Polisi na Gen. Shimbo.
 
Back
Top Bottom