DEVINE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 536
- 86
-Enzi za mwalimu msichana akitongozwa analia na lazima akamwambie mama yake,lakini siku hizi ukimtongoza binti anajibu 'nakupenda pia ila unashilingi ngapi?'
-Enzi za mwalimu gesti zilikuwa unaandikishwa hadi jina la mjumbe wa nyumba kumi ulipotoka,ila siku hizi jina si lazima ila utakaa masaa mangapi ndilo la muhimu.
-Enzi za mwalimu ukifaulu kwenda kidato cha kwanza wewe basi ni kichwa na kijiji kizima kitakutambua,ila siku hizi pesa huna basi twende ilimradi uonekane nawe huko sekondari.
-Enzi za mwalimu.......(endelea)