Kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Tanzania haswa jiji la Dar tofauti na miaka ya nyuma watu wameuanza mwaka mpya jana lakini tayari wameshachoka hawana matumaini wapo wapo tu ndugu watanzania wenzangu tufanye nini ili hali viongozi wetu ndo hao kama vile wanaishi mwezini....:embarassed2: