Waliyaona mafuriko lakini hawakuyaogopa, yalitikisa jiji, wao hayakuwazuia,

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
Nilipowauliza kulikoni raundi zinazungushwa as if hawayaoni hayo maji, wakanijibu, eti waogope maji kwani wao ni wakinakatope?

Ikabidi niondoke taratibu na siku kadhaa baada ya tukio hilo nikalzimika ku Log in....
Zungusha.jpg
 
Back
Top Bottom