Ndoa yenye matatizo...

Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,195
2,000
Wanandoa waliokuwa na matatizo ya ndoa yao walikwenda kwa mchungaji kusuluhishwa,
baada ya mchungaji kusikiliza hoja za pande zote, aliwapa ushauri kisha akawataka wote
wapige magoti ili awaombee. Baada ya maombi mchungaji akasema: Kutokana na maombi
haya naamini ndoa yenu sasa imeimarika na itadumu, bwana asifiwe sana…
Mwanamke akakurupuka kwa hamaki huku akisema; mchungaji sikubali, huyu bwana akisifiwa
atakuwa ananipiga kila siku…
 
Top Bottom