Kutoka mjengoni wanawake tukiwezeshwa tunaweza

attachment.php
 
mbunge unakua na vikuk miguni? hakuna kazi wanafanya hao.

hata sishangai ding wanavyomuibiaga mheshimiwa. teh teh teh
 
Sa kosa lao nini hapo?Hivi kwa nini kila siku kuwasema vibaya wanawake?
 
mie nimeona vikuku tu au ndo sijaelewa?

halafu kwanini muwezeshwe?
hamuwezi wenyewe?
 
Ndani ya katiba mpya swala la viti maalum ni lazima liangaliwe kwa mapana na hivi viti maalum vifutwe havina tija kwa Taifa. maana vimeshageuzwa ni K maalum.
 
Hallow! hakina akina mama wamependeza na "vikuku" vyao.
Ila, hii style ya vikuku/anklets beats me. Kila mtu anatoa tafsiri yake LOL
Ila binafsi poa tu, kama unapenda na unacho vaa, potelea mbali waswahili wanatafsiri nini
 
vihen(vi kuku) nawe nawe kwani hujui loh! au hata mitaani hujawai kukutana nao waliovaa

Dahhh mi huwa naona kwa wamasai tu wanavaa mabangili kumbe wadada nao wanavaa dhahabu miguuni lol dunia imekwisha
 
Mimi sifagirii hao wabunge wa Vitu Maalum, ila nawafagila wadada kama huyu, mwanamke Jasiri kama huyu (she have my vote with no complain!)

40731_128664173857779_100001425908463_175621_5296858_n.jpg

Mkuu, jikite zaidi kwenye lugha ya Taifa, unaandika kingereza nyanya!
 
Back
Top Bottom