huu ni mtihani...!!

huu ni mtihani...!!

kipind cha jakaya miaka 8 sana 2! Kisheria miaka 18 na kidini uweumeoa na hauwezi kuoa ukiwa chini ya miaka 18 4 a men bt girlz anaolewa atachini ya miaka hy.
Note: am nt perfect as indiviual.
 
Ukifika darasa la 6 mtafundishwa, acha kiherehere!
Tena januari hii ndio anaingia std 6 sasa sijui haraka ya nini.


Mke mwenza pitia ndizi zako na mbege kwa bht. Nyama sijakubebea utajinunulia.
 
Kamwulize baba
Atakushauri vizuri sana
Tatizo watoto mnatuficha wazazi mambo yenu
HAWEZI KUKUCHAPA WA KUKUTUKANA!

Atakufundisha na kujikinga na magonjwa.
 
maswali mengine ya hawa watoto ni ya kuumiza kichwa kujibu zaidi ya hesabu
 
Pale atakapo kuwa na uwezo wa kuowa.
 
Back
Top Bottom