Nilikuwa napitia Katuni za Nasani Mpangala nikakutana na kitu hiki kilichonifanya nifikirie mambo mengi sana kuhusu mustakabali wa nchi hii.
Amechora kwa kifupi na kaweka maneno machache sana...
Hii kitu nimeitoa gazeti la leo la citizen na nimeipenda..isome mwenyewe Facebook sparks a fire in my affair Tuesday, 17 January 2012 09:59 By Joseph Mtebe, Success Correspondent When I...
jamani, toka mwaka uanze nilikuwa sijapita huku.... na leo nachukua fursa hii kwa mambo mawili
1. Heri ya mwaka mpya wana JF woooooooote
2. naungana nanyi nyoote kwa msiba wa dada yetu...
Nilibahatika kuishi mkoani Kagera miaka ya themanini,kwa wahaya kuna ndoa zile za lazima yaani kijana anamwinda dada mahali halafu anamkamata akiwa na vijana wenzie, kisha anampeleka kwake,yule...
Kwa mfano ndo umwambie hivyo Paw baada ya kukupa onyo. unafikiri ni nini kitatokea? au unafikiri ni vipi utakuwa umehatarisha id yako?. kwa hiyo tuseme mimi wana niogopa au hapa ndo nmejileta...
Masawe alitaka amgonge MANKA kimoja cha fasta ofisini kisha ampe elfu 10, MANKA akagoma
MASAWE; Nitafanya fasta darling, nitaweka hela sakafuni wewe ukiinama tu kuokota mi ntakuwa nimemaliza...
Mwenzenu nilikuwa silali wa sitambai kwani yale mafuriko yalikuwa si mchezo ilikuwa ni balaa tupu maana sijawahi kuona
kaitika macho yangu ndugu zetu kufa kiasi kile na serikali inatudanganya kuwa...
Computer Gender
A Spanish teacher was explaining to her class that in Spanish, unlike
English, nouns are designated as either masculine or feminine.
''House'' for instance, is feminine: ''la...
said nally ndo aliyedondosha punje ya mchele duniani. hii imetufanya sisi watu wa pemba tupende sana ubwabwa kuliko vyakula vyote. hata kama una shughuli au duwa haitafanyika kama hujanipa...
Jamani wana JF najihisi nagundu,maana kwenye acount yangu sina rafiki hata mmoja,ukizingatia sijui hata nawapataje,halafu mbona hamnijibu hoja zangu au ni za kimbwiga???Na nikianzisha topic hata...
Hasa hasa nimeuona Zanzibar, naskia ni ugonjwa upo sana maeneo ya pwani pwani. Ile hali ya kujambishwa, yaani mtu anapita na kupuliza mdomo na kutoa sauti ya ushuzi basi jamaa wa pembeni yake...
(Changudoa);Goli moja kitandani sh.10000,goli moja kwenye sofa sh.5000 na goli moja kwenye nyasi sh.2000.(Mteja akatoa sh.10000). (Changudoa);Kweli wewe pedeshee,nilijua tu utataka kitandani...
habari zenu wana jf.
embu tungeshare kidogo iki ki2 muhimu hapa, eti ni kitu gani unakipenda ktk mwili wako.
ili hata kama nakuimagine lol iko ki2 kiwe hapo.
mrudishie mungu fadhila zake kwa...
Wana jf habari,hakika namzimikia sana mwimbaji wa nyimbo za gospel,ni mwembamba,maji yakunde,mtaalam wa kuzirudi ngoma,hakika ananikosha sana nakunifanya kila mara niwe naangalia kwaya yao,ni wa...
Jamani mimi mwenzenu nimepatwa na maswahibu muda si mrefu, kama mnavyojua hizi nyumba za kupanga lazima bafu la kuogea ni la kuchangia. Sasa nimeamka zangu naenda kuoga bahati mbaya au nzuri sijui...