Nimempenda mwimbaji wa nyimbo za injili,nifanyeje! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimempenda mwimbaji wa nyimbo za injili,nifanyeje!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Daffi, Jan 11, 2012.

 1. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Wana jf habari,hakika namzimikia sana mwimbaji wa nyimbo za gospel,ni mwembamba,maji yakunde,mtaalam wa kuzirudi ngoma,hakika ananikosha sana nakunifanya kila mara niwe naangalia kwaya yao,ni wa AIC C hangombe.Simfahamu na hata simjui,hakika naumia kwa upendo pindi niangaliapo mkanda wao,nifanyeje wanjameni?ananimaliza.
   
 2. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  i`ll be back.
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  After what!nipe mwongozo!i'm dying
   
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mi namjua,ila nataka kwanza nijue nia yako juu yake.
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Nisaidie bana!ntakueleza nia baada ya kunipa mwongozo mzima!hakika aniniua!nipe mwongozo,how can i......
   
 6. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Anza kusali hilo kanisa halafu baada ya hapo tumia ujuzi binafsi.
   
 7. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Endelea kuumia tu, ana wake yule!
   
 8. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Ni mdada,wala si wa kiume!ujue maumivu ya moyo ni zaidi ya kuchomwa kisu mkubwa?
   
 9. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Niko mbali na dar,laiti ningelikuwa karibu ningalijiunga nao!nifanye nini?
   
 10. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jeykei naye anampenda kama wewe
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ni yupi huyo?...Mimi nina contact zao karibu wote!
  default.jpg
   
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  pepo linakunyemelea,likemee lol
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  weka nia yako hadharani hit n run or marriage?by the way,ww si wa kwanza kumuulizia kwa vile hutaki kunambia una nia gani basi kula kwa macho.Tena ni shoga yangu wa kufa na kuzikana lolote nalo mwambia anakubali na ww kwa vile ni mwanajf mwenzangu ningekupendela ningemshawishi hadi akukubali lkn ningefanya hivyo baada ya kujua kama una nia njema.
   
 14. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tena uokoke kabisa
   
 15. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  ongea naye mpaka mwisho ni 200(source:late Mr.Ebo) Nalog off
   
 16. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nina wasiwasi na eiji ya mleta sredi
   
 17. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Why!hofu ondoa kabisa bosi
   
 18. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Da cheusi,niko tayari kumweka ndani kwa gharama yeyote,yaan sina nia ya hit and run!yaani nampenda sana.
   
 19. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Mbona kama simwoni hapa,au macho yangu?ngoja niingie chombo kikubwa zaidi then ntakuonyesha arifu.
   
 20. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Wala siyo pepo!we niombee bana nimpate.
   
Loading...