Nimenuniwa mpaka napigwa mkwara eti lazima nihame

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Jamani mimi mwenzenu nimepatwa na maswahibu muda si mrefu, kama mnavyojua hizi nyumba za kupanga lazima bafu la kuogea ni la kuchangia. Sasa nimeamka zangu naenda kuoga bahati mbaya au nzuri sijui niseme hivyo mlango wa bafu ulikuwa haujafungwa sasa mbio mbio nafungua na wakuta mama mwenye nyumba na mme wake wanafanya mapenzi au ngono. Sasa nimenuniwa na wananiwekea kikao wanipe notice nihame ila aliye ghadhabika sana ni mme wake. Hayo ndo yamenikuta hata kazi nafanya kwa tabu
 
Inamaana walikuwa wanajimapenzi kwa bafu na mlango ukiwa wazi na nyumba ya upangaji?ni wazima kiakili?
 
Nenda pale Jangwani nyumba za bure zipo si wale jaamaa wamahamishwa..Wahi nyumba moja na baadae unaweza kuimiliki kiana.
 
Nadhani watakuwa walijisahu halafu kikomeo chake ni kigumu kukifunga ukiwa ndani nadhani ndo maana waliamua kupotezea ila ndo inanighalimu
 
Kwani umewachanganyishia macho au umeona ukarudi nyuma? na hata sauti za miguno hujazikia?
 
Nenda pale Jangwani nyumba za bure zipo si wale jaamaa wamahamishwa..Wahi nyumba moja na baadae unaweza kuimiliki kiana.

Mkuu jangwani Jk kapapiga marufuku hamna mtu kwenda pale yaani na huu mwezi ulivyokuwa mbaya sijui itakuwaje
 
Pole sana, kosa ni lao, waambie hukujua wamo huko bafuni...hawataki,kama kodi haijaisha wakurudishie,wakupe notisi ya mwezi..uhame zako.. utakakohamia kumbuka kugonga mlango....kazi kweli kweli!
 
Ahsante kwa ushauri wako tatizo hapa mshiko wa kupata nyumba nyingine ndo unakuwa mgogoro
 
Pole sana, kosa ni lao, waambie hukujua wamo huko bafuni...hawataki,kama kodi haijaisha wakurudishie,wakupe notisi ya mwezi..uhame zako.. utakakohamia kumbuka kugonga mlango....kazi kweli kweli!

Mitch,nilikumis sana.napendaga sana michango yako.
 
hahahahahah nitonye
unalo tafuta mkopo uhame hapo hapakaliki tena utabambikiziwa visa kila mara
 
Jamani mimi mwenzenu nimepatwa na maswahibu muda si mrefu, kama mnavyojua hizi nyumba za kupanga lazima bafu la kuogea ni la kuchangia. Sasa nimeamka zangu naenda kuoga bahati mbaya au nzuri sijui niseme hivyo mlango wa bafu ulikuwa haujafungwa sasa mbio mbio nafungua na wakuta mama mwenye nyumba na mme wake wanafanya mapenzi au ngono. Sasa nimenuniwa na wananiwekea kikao wanipe notice nihame ila aliye ghadhabika sana ni mme wake. Hayo ndo yamenikuta hata kazi nafanya kwa tabu

Mama mwenye nyumba amenuna umekosesha bao ukizingatia ndo alikuwa anakaribia kukojoa
 
Hii nayo kali,
bafu la watu wote nyie mnangonoka huko huko,
inaonyesha jamaa zako hawajatulia kabisa mkuu,
kama una ndugu wa karibu kabane huko wiki moja
ukirudi mambo yashakuwa sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom