Mwanamahesabu na Changudoa.

Mwanamahesabu na Changudoa.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(Changudoa);Goli moja kitandani sh.10000,goli moja kwenye sofa sh.5000 na goli moja kwenye nyasi sh.2000.(Mteja akatoa sh.10000). (Changudoa);Kweli wewe pedeshee,nilijua tu utataka kitandani. (Mteja);Nani pedeshee?,hiyo hela ni ya goli tano za kwenye nyasi!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haha ha ha ha ha ha ha ha... Hio kali sana mkuu... Bwana Jaguar upo sawa sana mkuu.. Lakin inaonekana una uzoefu fulan kny kupurchase haya madege yasoliwa
 
mmmh!moja la kitandani ni sawa na 5 kwenye majani!!!!!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haha ha ha ha ha ha ha ha... Hio kali sana mkuu... Bwana Jaguar upo sawa sana mkuu.. Lakin inaonekana una uzoefu fulan kny kupurchase haya madege yasoliwa
Hapana mkuu,hata kama ningekuwa domo zege,mbona siku hizi wanatufuata wenyewe!
 
Hapana mkuu,hata kama ningekuwa domo zege,mbona siku hizi wanatufuata wenyewe!

kweli mkuu!!!au unatania?mi mbona location yangu bado hawatufuati?!au ndo bado tuko nyuma sana?
 
loh, natumai kila kitu kilienda kama ilivyokubaliwa kabla...ha ha haaaaaaaaaaaaaa!
 
Mwana mahesabu yupo vizuri, hataki kwenda kwa hasara.
 
hahahahahaaaa..uuwwiiii! ukichunguza kiundani huyo mwana mahesabu ni mchaga au ana element za uchaga..
 
Back
Top Bottom