Wachaga wote wajanja

Wachaga wote wajanja

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,923
Masawe alitaka amgonge MANKA kimoja cha fasta ofisini kisha ampe elfu 10, MANKA akagoma
MASAWE; Nitafanya fasta darling, nitaweka hela sakafuni wewe ukiinama tu kuokota mi ntakuwa nimemaliza.
Manka akaomba ushauri kwa boyfriend wake Mr Chuwa.
CHUWA: Usiache hela Manka mwambie atoe elfu 30 kisha okota fasta kabla hajavua. Chuwa akasubiri dakika 45
KIMYA akaamua kumpigia MANKA. Manka akajibu ndio kwanza tupo nusu kwani MASAWE kaweka sarafu za
miamia.:lol:

[/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/FONT][/FONT]
 
Napita tu, wenye kabila waje kutetea hoja.
 
Vichekesho vingine ni abuse! Hamna la kuandika zaidi ya wachaga?so tired!!
 
Massawe Mchaga, Manka Mchaga, so hakuna ujanja hapo ni fifty fifty
 
Copy&paste umechakachua tu kuwaweka wachaga, kama kweli ww ni mgeni humu,cku nyingine usitaje makabila ya watu kwa mambo ya kipuuzi kama haya,kwani kufanya hivyo ni upumbavu mkubwa.Pia inaonyesha wewe ni ***angalia utagongwa..!kuingia 2 leo umeanza uxenge,nyambaf
 
I hope walimaliza salama,na kila mmoja akaridhika...:A S embarassed:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom