Avatar yangu ndio tatizo au??

salito

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
1,408
716
Jamani wana JF najihisi nagundu,maana kwenye acount yangu sina rafiki hata mmoja,ukizingatia sijui hata nawapataje,halafu mbona hamnijibu hoja zangu au ni za kimbwiga???Na nikianzisha topic hata hamchangii kulikoni??halafu wajameni mbona hata likes sipati??msinifanyie hivyo wajameni nisameheni bure kama kuna tatizo au avatar yangu ndio inatibua nyongo zenu??maana nyie nao mhhh......kidogo tu mnamaindi...
 
Kabla sijaanza ku-speculate tatizo, utajali kupaste hapa avatar yako na details za hapo juu kulia? Kama umejiunga lini, umeshatoa likes ngapi na kadhalika. Samahani, niko via mobile.
Kama hujui jinsi ya kupata marafiki humu, most probably unatumiwa request na unashindwa kuwakubali.

Una miaka mingapi?
 
Mie sijawahi kukutana na hiyo ID popote humu jamvini.....ana avatar ya bendera ya chama au?
 
Ibadilishe weka 757511_com_chelsea.jpg
 
Kabla sijaanza ku-speculate tatizo, utajali kupaste hapa avatar yako na details za hapo juu kulia? Kama umejiunga lini, umeshatoa likes ngapi na kadhalika. Samahani, niko via mobile.
Kama hujui jinsi ya kupata marafiki humu, most probably unatumiwa request na unashindwa kuwakubali.

Avatar yangu ya manchester united!inawezekana eeh??naomba unielimishe naziona wapi hizo request??
 
mamabo ya like humu ...................... ni kubali kuliwa ili ule...................... (7-6)=1................... bado unadai 1 mkuu................ vuta subira, ...................... kama vipi kaidai kwa iliyemgongea......................
ah we noma.
 
Kabla sijaanza ku-speculate tatizo, utajali kupaste hapa avatar yako na details za hapo juu kulia? Kama umejiunga lini, umeshatoa likes ngapi na kadhalika. Samahani, niko via mobile.
Kama hujui jinsi ya kupata marafiki humu, most probably unatumiwa request na unashindwa kuwakubali.
King'asti,naomba tuwe marafiki,nakuahidi nitakuwa mwadilifu,no cheating!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom