Mimi napenda sana ubwabwa/ wali

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
said nally ndo aliyedondosha punje ya mchele duniani. hii imetufanya sisi watu wa pemba tupende sana ubwabwa kuliko vyakula vyote. hata kama una shughuli au duwa haitafanyika kama hujanipa ubwabwa. kwangu mimi ubwabwa ni suna. asante sana said. Mia
 
Ubwabwa km ubwabwa au ubwabwa changa la macho????
unamaanisha ubwabwa bokoboko?
 
Ubwabwa!
Ukiwa mchache >
vijibwabwa
Ukiwa mwingi >
mibwabwa
Pia nadhani inawezekana kikawa chakula pekee chenye utajiri wa majina kuliko vingine kwa hapa Tz kuanzia
Mpunga
Mchele
Wali
Ubwabwa
Pilau
Biriani
 
hii kitu ubwabwa ni noma nakumbuka zamani kijijini kwetu siku ya xmas au pasaka bila kupika ubwabwa kila raia ndani atanuna maana ubwabwa ni mpaka sikukuu, halafu mkishakula unaacha punje moja shavuni na haunawi mikono unaenda kuwaringishia wenzio
 
Ubwabwa!
Ukiwa mchache >
vijibwabwa
Ukiwa mwingi >
mibwabwa
Pia nadhani inawezekana kikawa chakula pekee chenye utajiri wa majina kuliko vingine kwa hapa Tz kuanzia
Mpunga
Mchele
Wali
Ubwabwa
Pilau
Biriani

duh!..hii hatari. Mia
 
hii kitu ubwabwa ni noma nakumbuka zamani kijijini kwetu siku ya xmas au pasaka bila kupika ubwabwa kila raia ndani atanuna maana ubwabwa ni mpaka sikukuu, halafu mkishakula unaacha punje moja shavuni na haunawi mikono unaenda kuwaringishia wenzio

hahahahaaaaaa.....!!!. Mkuu umeua. kweli aisee hata kwetu hivyo hivyo, kama ulikuwepo vile. Mia
 
wa nazi na nyama ya mbuzi. hamdulillah. ova

kidali cha mbuzi kuna nyama fulani naipenda, imeshikana na mfupa fulani hivi laiiiiini yaani mfupa wenyewe unautafuna kama unanawa. napenda sana. sijui lini ntaenda moshi pale mess ya marangu mtoni kula vidali. dah!. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom