Ulevi nomaaa....

dudupori

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
1,793
1,903
Mlevi kaingia choo cha kike, mwanamke akamwambia "this toilet is for ladies only" mlevi akamtolea UUME wake na kumwambia "and this is 4 ladies too"
 
Mkuu,mbona kila siku unapost upupu tu humu?
Naona ni post yako ya tatu,ulianza na kutukana wachaga;
Inaonesha akili yako imejaa ngono!!!
 
Ndugu yangu Eliah naona we huelewi maana ya utani, hata unavyosema nimewatukana wachaga nadhan utakuwa umekosea, this iz just a joke kama hukuipenda au imekugusa ipotezee si lazima kucoment.
 
I think this is for ladies too, hahahahaaaaaa...
 
Back
Top Bottom