Dear Salary, Why are you not growing?

Dear Salary, Why are you not growing?

popiexo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
742
Reaction score
184
Kila kukicha vituvyote vinapanda kasoro kamshahara ndio kamedumaa
Salary.jpg
 
hahahahahaha....safi nimeipenda hiyo,umesahau kuweka na mchele,sukari......
 
ha ha ha ha ! imetulia, u make my day!! uwiiiiiii, mbavu zangu mieeeeeeeeee.
 
Unajua salary bwana anasumbuliwa sana na magonjwa so 2muombe apone.
 
Tatizo sio salary, hawa jamaa wanakuwa bila kikomo, sasa salary atawafuata mpaka wapi? hawa jamaa zake watakuwa na matatizo ya enzymes za ukuwaji zinaendeleza ukuwaji mpaka beyond the age limit. Itafutwe dawa ya kuwashusha sana tu.
 
Back
Top Bottom