Ninawasalimu katika upendo na amani.

KapellaMark

Member
Jan 19, 2012
10
1
Ndugu zangu natumai hamjambo.
Nimefarijika sana leo tarehe 19 januari 2012 kufanikiwa kujiunga nanyi wana jamii forums!
NINA IMANI TUTAFANYA KAZI PAMOJA KUWAHUDUMIA WATU WETU.Asanteni
 
Karibu mkuu. Naona wenye jukwaa wamekupotezea, wabaguzi sana hawa!
 
Karibu sana mkuu!

Angepitia mapokezi, angepokelewa vizuri tu. Sasa anapitia chumba ambacho watu wanapiga story, ndo maana hawakumwona.

Karibu and have fun...:juggle:
 
Karibu sana. Ungeingia jukwaa la Utambulisho ingekuwa safi.
 
Sijui tatzo nini? Alitaka nani amkaribishe. Maana yeye kamwona, kamkaribisha, bado analalamika. ...MHHH!!!

Mbona unaweza ukajiunga wala usipate hata karibu!.............

ndo hapo sasa kanishangaaza!Bora angeenda jukwaa husika halafu asikaribishwe mgeni mwenyewe kaja kama kakurupushwa.
 
ila amenikumbusha salamu ya mzee Mandela... I salute you in the name of love
 
Ingekua home loh.. ningemtimua kabisa..HODI..!HODI WANA JF..Then utackia unakaribishwa c kuingia ingia tu kama choo cha stand ala!!
 
mbona kama umeumia sana,

yeah, u got my feelings, right?
Humu JF kuna ubaguzi sana, tena sana, hasa kwa hawa memba wa Chit-Chat na MMU ambao ni kama wana ki-alliance fulani hivi, yaani kwao member mgeni huwa kama ana ukurutu vile...
Inaniuma sana, kwa sasa nimesitahi majina yao.
 
However sharp my teeth are! I can not bite water!!!he that would make his own liberty secure,must guard even his enemy from opposition,for if he violates this he establishes a precedence that will reach himself!!!!!!!
 
Back
Top Bottom