Kwenye kampeni za uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenye kampeni za uchaguzi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kitalolo, Jan 21, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ALISIKIA AKILALAMIKA MGOMBEA WEPESI AU URAHISI

  Jinga Kubwa: "sasa wewe mkaahapa unanisusia kwenye kampeni kula basi na mimi naacha linchi lichukuliwe na upinzani uone kama hatutaburuzwa mahakamani wote kwa wizi wa mali umma.
  Baada ya kusikia hayo ndiposa bwana Mkaahapa alipoamua kujitokeza kusaidia kampeni kula kwa chama chake kwa hofu kuwa ikiwa mgombea wao atashindwa basi wapi zani wangeichukua nchi na kitu cha kwanza kukifanya ingekuwa kuwashitaki viongozi waliotangulia kwa kufisidi mali ya umma na haswa ukizingatia nchi ilikuw imetoka kwenye kasfa kubwa ya ufisimaji BOT kupitia akaunti ya madeni ya nje EPA (si mnajua maana ya kuepa yani chukua ishia ) fedha amabazo ni hakika zilichukuliwa ili kuwezasha chama kwenye uchaguzi, na kwakufuta ushaidi kuna watu waliuliwa kama Balaahili yaani yeye kwa asili ya jina lake alionekana kwamba atakuwa balaa kabisi kwenye hili swala. wengine ni mweka hazina wa chama kwani inasemana alijua kabisa ni kiasi gani kiliingizwa kwenye chama na kilitumikaje na fedha hizi zinasadikiwa kuwa zilichukuliwa wakati nchi iko kwenye ukapa kama ndio uongozi wa nchi. duh kumbe jela kubaya muulizeni yule jamaa aliyeyumba akajikuta ndiye pekee aliyeambulia kifungo kutokana na sakata la ujenzi wa magorofa yaliyozaliwa pamoja ambapo ndimo kulipofanyikia sakata la wizi huu. jamaa baada ya kumaliza kifungo mara hoo siku ya kutoka gerezani ndio inasadikiwa aligundulika alikuwa na simu na alikuwa anawasiliana na mkuu wa injini kuhusu dili zao uraina za madawa ya kulevya wakataka kumrudisha gerezani kwa kosa hilo. duh amakeli dunia hadaa wakati wakiendelea kutasmini hili wakaona wamkamatishe biti yake ukuta na madawa ya kulevya sasa sijui jamaa atayumba tena na kujikuta akihisishwa na sakata hili, ngoja tuone
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mmmmmh!
   
Loading...