Tanzania haimthamini mwalimu.

Tanzania haimthamini mwalimu.

Man selected

New Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Inasikitisha sana.
Uwalimu sasa si kazi mzuri kutokana na jinsi serikali yetu ilivyo wapuuzia.
Kwamacho yangu nimemshuhudia mwalimu wangu wa primary amekuwa ombaomba yeye na watoto wake.
Tena nimwalimu ambaye ameshafundisha shule nyingi Dar na pwani.
Sijaua ni matokeo baada yakustaf au ninini.
Hakupaswa kuishi maisha yashida hatakama amestaff.
Mawazi na Wabunge wanahudumiwa vizuri wanawasahau watu waliowafungua akili kufika hapo walipo
 
Umenena.

Waalim nnaowakumbuka, enzi hizo (60s) walikuwa ni watu wenye heshima kubwa kwa jamii.

70s baada ya kuukumbatia ujamaa, waalim wa maana wakahama nchi, wakapewa nyadhifa zingine serikalini, wakastaafu kwani viwango vya elimu vilishuka ghafla. Matokeo ni haya tunayoyaona, waalim wamekuwa ni kundi la wanafunzi wanaofeli, hivi umefeli masomo yote unakwenda kufundisha nini?

Njia pekee ya kuinua elimu ni kuwajali waalim, kwanza kwa kuhakikisha wanalipwa mishahara ya juu, marupurupu ya juu, na serikali ihakikishe inawahamasiha wanaofanya vizuri masomoni wachukue nyadhifa za ualimu, huwapati kwa mishahara hii ya sasa.

Na hakuna nchi itayoendelea kama haina waalim wazuri. Mwalim mbovu unategemea mwanafunzi aweje?
 
Bora Waalimu wana Shule za Kufundishia Pilots ndio kabisa hawana Ndege za Kuziendesha lol..

Madaktari

Na Sio Waalimu pekee na Wanafunzi wao Pia... Wanachuo ..

Wananchi wote kwa Ujumla kasoro Mafisadi tu
 
Bora Waalimu wana Shule za Kufundishia Pilots ndio kabisa hawana Ndege za Kuziendesha lol..

Madaktari

Na Sio Waalimu pekee na Wanafunzi wao Pia... Wanachuo ..

Wananchi wote kwa Ujumla kasoro Mafisadi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom