Cheka na waseminari

Cheka na waseminari

Mabagala

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
1,477
Reaction score
327
Mdogo wangu mseminari alirudi likizo akanitolea hii mpya. Mchaga kidume kampata mwanamke wa pwani ( nahisi darisalama), wakaenda zao kubanjua tunda la heri, mchaga si kakuta mdate wake ana shanga, kamuuliza ' aisee mama angu izi rosari umenunua parokia gani?' kaacha kumega akaanza kusali salamu maria...,
 
Waswahili wanasema 'mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe' kweli wachaga wana kila kitu, ndio maana hamuishi kuwataja kila siku, na wengi wameongoka wanamjua Mungu ngono nyuma. Wachaga hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Mdogo wangu mseminari alirudi likizo akanitolea hii mpya. Mchaga kidume kampata mwanamke wa pwani ( nahisi darisalama), wakaenda zao kubanjua tunda la heri, mchaga si kakuta mdate wake ana shanga, kamuuliza ' aisee mama angu izi rosari umenunua parokia gani?' kaacha kumega akaanza kusali salamu maria...,
Tufike mahali tuache mzaha na imani za watu wengine!
 
hahahahaha!!!!!!tehetehetehetehe!!!!!!!!!!! mi nadhani uzoefu nao ulikuwa kiduchu!!!!!!
:lol::lol:
 
Back
Top Bottom