Hahahahahahaha Malaria Sugu!!

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Kwanza sijui ni mwanamke au Mwanaume?ni moja wa member pasua kichwa sana!na topic zake za kidini humu ndani,nimechunguza kitu kimoja toka kwake ni moja wa medber ambao awapendwi hata kuonwa humu ndani na yeye anajua icho kitu kuwa anatia kichefu chefu cha moyo paka basi,mimi cwezi kumenda wala kumchukia coz ataniumiza kichwa tu,ila kaka au dada Ms big up kwa kuwasumbua vichwa humu Jf,Mia,Mx
 
Umejuaje kama anawaumiza watu vichwa?Inadhihirisha wazi kuwa wewe ndiye unayeumia kichwa na Malaria Sugu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom